Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,587
- 17,730
We wasema.DAh yaan unashindwa fanya mambo yako kisa hela za madili me nikajua ma biashara yako yatayumba kisa madili tu ya kuiba serikalini
#YNWA
#YANGA_BINGWA
We wasema.DAh yaan unashindwa fanya mambo yako kisa hela za madili me nikajua ma biashara yako yatayumba kisa madili tu ya kuiba serikalini
Acha dharau ndugu.
- unadhani kila mtu ana IQ ndogo kama wewe,
- hadi Leo unasoma education,badala ya kusomea degree za maana
Usiwe serious natania tuAcha dharau ndugu.