- huwezi kuwa muhasibu/ accountant kama sio CPA,Kwaio unahisi CPA ni muhimu SANAAAAAA?
- huwezi kuwa muhasibu/ accountant kama sio CPA,Kwaio unahisi CPA ni muhimu SANAAAAAA?
Wewe mlamba Nyau Education kwangu ni degree ya maana sana. Ni zaidi ya wito kwangu. Afu ata ivo IQ yako ni ndogo sana, kujitutumua kote ni hiyo Education imekutoa Kindergarten to Form six. Nimekupuuza zaidi mlamba nyau ww
- unadhani kila mtu ana IQ ndogo kama wewe,
- hadi Leo unasoma education,badala ya kusomea degree za maana
-Wenzio tumesoma Geomatics vitu vigumu, wewe unakimbilia educationWewe mlamba Nyau Education kwangu ni degree ya maana sana. Ni zaidi ya wito kwangu. Afu ata ivo IQ yako ni ndogo sana, kujitutumua kote ni hiyo Education imekutoa Kindergarten to Form six. Nimekupuuza zaidi mlamba nyau ww
Mzee, usijidanganye Mimi na kaka ni consultant wa masuala ya fedha tena ana kampuni ila HANA CPA ila ni GURU kuhusu muhurii anatumia wa watu.- huwezi kuwa muhasibu/ accountant kama sio CPA,
Unaisomaje Geomatics bila Education. Usiwe kilaza basi ww mlamba nyau-Wenzio tumesoma Geomatics vitu vigumu, wewe unakimbilia education
- endelea kulamba makombo ya ccm
- unaposema wapo wahasibu wazuri na hawana cpa unakosea,Ili uitwe accountant ni lazima uwe cpa,kama una degree ni Afisa hesabu au assistant accountantMzee, usijidanganye Mimi na kaka ni consultant wa masuala ya fedha tena ana kampuni ila HANA CPA ila ni GURU kuhusu muhurii anatumia wa watu.
Mbali ya Mimi kua mdau wa afya mwandamizii senior ila Nina degree ya mambo ya fedha ipo kabatini so Mimi sio layman najua mambo yotee sijui PAYBACK PERIOD, IRR, LIQUIDITY, RISK MANAGEMENT, FINANCIAL STATEMENTS, BUSINESS CYCLE, BUSINESS IS SEPARATE ENTITY,
SO HATA MIMI MUDA WOWOTE NIKIAMUA NAWEZA NIKAJIANDIKISHA NA KUFANYA MITIANI YA BODII NA NIKATOBOA..
NB. WAPO WAHASIBU WAZURI TU ILA HAWANA CPA IPO IVYO
Nenda kasome ardhi kama hujaliwa kichwaUnaisomaje Geomatics bila Education. Usiwe kilaza basi ww mlamba nyau
Hapana mzee , Mimi Huwa napenda sana sana kusoma naweza nikasema ngoja NIANZE kusoma degree ya masscomunication & jonarism Nika apply na kuanzia kusoma evening program na nikatoboaU
Umeandika vizuri mzee mwenzangu ila umejisifia tu point ya kubeba hapa walau "AMBITION IS A DREAM"
Mzee, usijidanganye Mimi na kaka ni consultant wa masuala ya fedha tena ana kampuni ila HANA CPA ila ni GURU kuhusu muhurii anatumia wa watu.
Mbali ya Mimi kua mdau wa afya mwandamizii senior ila Nina degree ya mambo ya fedha ipo kabatini so Mimi sio layman najua mambo yotee sijui PAYBACK PERIOD, IRR, LIQUIDITY, RISK MANAGEMENT, FINANCIAL STATEMENTS, BUSINESS CYCLE, BUSINESS IS SEPARATE ENTITY,
SO HATA MIMI MUDA WOWOTE NIKIAMUA NAWEZA NIKAJIANDIKISHA NA KUFANYA MITIANI YA BODII NA NIKATOBOA..
NB. WAPO WAHASIBU WAZURI TU ILA HAWANA
Ardhi kitu gani na ww mlamba nyauNenda kasome ardhi kama hujaliwa kichwa
Mzee, usijidanganye Mimi na kaka ni consultant wa masuala ya fedha tena ana kampuni ila HANA CPA ila ni GURU kuhusu muhurii anatumia wa watu.
Mbali ya Mimi kua mdau wa afya mwandamizii senior ila Nina degree ya mambo ya fedha ipo kabatini so Mimi sio layman najua mambo yotee sijui PAYBACK PERIOD, IRR, LIQUIDITY, RISK MANAGEMENT, FINANCIAL STATEMENTS, BUSINESS CYCLE, BUSINESS IS SEPARATE ENTITY,
SO HATA MIMI MUDA WOWOTE NIKIAMUA NAWEZA NIKAJIANDIKISHA NA KUFANYA MITIANI YA BODII NA NIKATOBOA..
NB. WAPO WAHASIBU WAZURI TU ILA HAWANA
Ardhi kitu gani na ww mlamba nyau
Wenda natumia nguvu kubwa kumbe nabadilishana mawazo na form Four Failure. sasa kama mawazo yako yameishia hapo sina haja ya kujibizana na ww mlamba nyau 😄
- endelea kula makombo ya ccm
- unaenda kusoma Master Ili upande daraja ili uongeze makombo
Hayo ni majina TU ok! Mimi kaka angu ni afisa hesabu na kaajir CPA kibao sio kwamba hawezi / kufaulu MITIANI ya BODII ila kaamua kufanya ivyooo.- unaposema wapo wahasibu wazuri na hawana cpa unakosea,Ili uitwe accountant ni lazima uwe cpa,kama una degree ni Afisa hesabu au assistant accountant
Hayo ni majina TU ok! Mimi kaka angu ni afisa hesabu na kaajir CPA kibao sio kwamba hawezi / kufaulu MITIANI ya BODII ila kaamua kufanya ivyooo.
Brother angu hana CPA ila ni GURU kwenye uhasibu anafungia mahesabu makampuni mengi sana tena ya NICHE TOFAUTI TOFAUTI so usivimbie CPA Huku hujui kazi..
Mimi nipo afya ila miaka mingii Sasa ila 2020 nili gradu 🎓 mambo ya fedha level ya degree na hata kwenye business zangu na apply uhasibu niliota usoma ila sina CPA
- Mimi pia sina haja ya kujibizana na wenye degree za kiremboWenda natumia nguvu kubwa kumbe nabadilishana mawazo na form Four Failure. sasa kama mawazo yako yameishia hapo sina haja ya kujibizana na ww mlamba nyau 😄
Jiimarishe wewe ulie ajiliwa..unajua nyinyi mmeajiriwa sisi tumeajiri/ tuna ajiri Mimi na kampuni yangu so ni muhimu SANAAAAAA kujua mambo ya fedha unajua kama director tunapewaga reports za financial so kama hujui mambo ya kifedha unafanyaje??
- kama ni guru mwambie afanye mtihani asiogope.
- Mimi sio CPA Mimi ni Professional land surveyor
- yaani uko afya halafu unaenda tena kwenye uhasibu, jiimarishe kwenye kada ya afya
Jiimarishe wewe ulie ajiliwa..unajua nyinyi mmeajiriwa sisi tumeajiri/ tuna ajiri Mimi na kampuni yangu so ni muhimu SANAAAAAA kujua mambo ya fedha unajua kama director tunapewaga reports za financial so kama hujui mambo ya kifedha unafanyaje??
Kuhusu uguru Kuna umri ukifika unabidi utumie watu uwalipe kufanikisha mambo.. huo muda wa kwenda kusoma kutafuta CPA wakati unaweza ajiri mtu na ukamlipa? Haiondoi maana kua mtu anaweza kuwa GURU wa uhasibu bila KUA NA CPA
WELCOME TO THE WORLD 🌎 SISI WENGINE TULICHAGUA KUJIAJIRI SO NIPO KWENYE AFYA NA HAINIZUIHI KISOMA COURSE NYINGINE MFANO NOW NASOMA MAMBO YA GRAPHICS DESIGNING LEVEL YA DIPLOMA
Shule mama shule SIITAKI TENA.Tafuta CPA achana na PhD
Sawaa bwana TAJIRI.Walio drop out ni Bill Gate, Mark Zugeberck etc na ambao sasa ni mabilionaire wakati wewe uliangukia kwenye mawe