kama unaongea na watanzania wanaoishi ngambo mda mrefu labda watakusikiliza lakini kama unaongea na watanzania wanaoishi Tanzania nakushauri tena acha kutaja chama chako maana unakiabisha. waulize serikali wenyewe kwa nini mfumo wa anwani za makazi umekwama kama sio makazi holela yanakwamisha. Tena mtu kama wewe hufai uongozi kabisa maana tunapaaza sauti ili serikali itekeleze wewe unawapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.
Serikali ya CCM ni ""Makini Sana"" hizi picha ni za enzi kabla ya Uhuru 1961 Sasa hivi Maisha ya kila Mtanzania yamekuwa bora kama tulivyowaahidi. Mkakatiwetu ni kuboresha miji kama Kigamboni na mingine nchi nzima.
WanaJF
Nilikuwa mmojawapo wa viongozi tulioandamana na Mhe Rais katika ziara yake ya majuzi nchini Singapore. Ninawaletea sehemu ya Master Plan ya mji wao mpya unaojengwa kutokana na kuokoa ardhi baharini (reclamation). Unaona kila kipande cha ardhi mpya kimeshapangiwa matumizi yake na kuwekewa malengo ya majengo yanayotakiwa.
Kupanga ni kuchagua. Kunahitaji nidhamu na hakuna mchezo wala utani. Huwezi kuwa na mji uliopangwa kama unapenda na kuendekeza uholela na vurugu (chaos). Kinachotakiwa ni kushirikisha wadau wote kupanga malengo na viwango baada ya kupata maoni ya wataalam. Wanaoarithirika na kulazimisha kuhama kupisha maendelezo mapya wanalipw fidia stahiki na endelevu.
Anayedai vinginevyo si msema kweli. WaSingapore wamehaidi kutusaidia katika ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni. Ninakaribisha maoni yenu hasa nyie mlio nje na mnaishi katika miji iliyopangwa? Je uholela unavumiliwa au kuendekezwa? Tupe habari.
View attachment 97055
Mama Tibaijuka

Natumaini Mama Tibaijuka unakula Nondo kimyakimya...Sio mbaya hata uki-like inatosha.
Mtu mzima, kwani umesahau kuwa hizi nyumba za Mchechu za milioni sitini za saiv ndo hizo tunaambiwa za bei nafuu....
NHC hawatoweza kusimamia, ingekuwa ni shirika binafsi, hizo kodi wanazokusanya na assets za majumba waliokuwa nayo hawana hata sababu ya kukusanya mtaji, wana mtaji tosha kabisa. Lakini wamekalia pale kujineemesha wao tu.
waliuza hisa watabadilika
Kama kawaida wAtu wa kupiga madili ili mradi tu pesa iliweMbona mlishafanya huo mpango angalia hapa kwenye link (Kigamboni New City) au mnataka kupiga hela nyingine za ili mtutengenezee video nyingine?
mama mwizi huyu,roho mbaya kama ninimama rudisha hela zetu za escrow