1. Atafuta tozo zote kwa mazao ya wakulima na wafugaji. Hawa ni 90% ya watz wote. kufuta tozo ni kuongeza kipato kwa mkulima huko ni kuuchukia umasikini.
2. Elimu bure kwa ngazi zote nchini.
KWA MKAKATI UPI?.
Kupunguza matumuzi ya anasa na kwa kukusanya kodi zote.
mkuu hapa jamii forum kuna watu wenye background tofauti kwa hiyo ni vema ukalizingatia Hilo kabla ya kupost ujinga wakoLowassa anahaidi uboreshaji na siyo mabadiliko. Nasema uboreshaji kwa kua kila anachoahidi ni kiko kwenye utekelezaji wa CCM au ahadi za CCM na hii Mfano suala la elimu anasema elimu bure badala ya kuahidi Mfano kutumia lugha mama kiswahili hadi chuo au kiingereza toka darasa la kwanza n.k kwa hiyo underpinnings za elimu zibaki vile vile yeye lowassa mabadikiko yake ni ubure hii tunaita cosmetic make up na siyo mabadiliko. Kwenye suala la Katiba lowassa mwenyewe hajahaidi kama rasimu ya warrioba italetwa kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni ndani ya muda let say mwaka au miezi mi3 au Siku 100 za kwanza za utawala wake,kuhusu tatizo ufisadi hajaongea kama ataanzisha mahakama au time ya kujadili na kurudisha rasilimali zikizoibiwa katika kipindi fulani chini ya CCM Mfano.wa Buhari kule Nigeria ambapo aliahidi kufanya hivyo kama mojawapo ya ahadi za mabadiliko Nigeria na kuua ufisadi nchini humo na mpaka sasa Nigeria na buhari wanefanikiwa kurudisha kwa umma $50b zikizokwapuliwa na walafi wachache
Kwa mantiki hii hapa tunaona huyu lowassa asiyeamini mabadiliko ni mtu mbinafsi anayetaka tu kutimiza ndoto binafsi awe rais wa tz basi.
Mabadiliko uwa hayawi vuguvugu mabadiliko ni moto mabadiliko siyo kuboresha mabadikiko ni kufutilia mbali yaliyopo sasa, mabadiliko uwa na ahadi zinazopimika ndani ya muda unaopimika na siyo ahadi tu zisizopimika, na muhimu mabadiliko hufanywa na wale ambao hawakua mpaka hivi punde tu hawaamini kwenye hayo mabadiliko na walikua ni sehemu kubwa ya tatizo lenyewe in.the first place hadi tukatamani hayo mabadiliko.
Rasm ya pili ya katiba mpya ambayo Lowasa na chadema wana ahidi kuifufua si tu inafanya mabadiriko Bali pia kufagia uchafu wote ulioletwa na ccm ndani ya nchi hii.haya huyaoni kwa Kuwa akili yako ipo likizo.hapa unatumia akili ya magufuli,ulofa,upumbavu na tumbo lakoNafatilia sana hotuba zake za majukwaani wala hatuwezi kusema zile ni hotuba anacho fanya ni kutoa mihitasari tu ya dakika tatu alafu anakaa chini!!
Simsemi vibaya lakini tuna wajibu wa kuwa wakweli - Jamaa huyu hana mkakati wowote thabiti wa kuleta mabadiriko ya kweli katika Taifa letu, kama angekuwa nao basi angejinadi majukwaani wananchi wakamsikiliza na kujiridhisha kwamba jamaa huyu balabala,ninacho shuhudia mimi ni mihemuko ya kisiasa ya kutaka mabadiriko bila ya kujali wasifu wa mshika bendera kama ana uwezo wa kuwavusha rubicon au hana!
mkuu hapa jamii forum kuna watu wenye background tofauti kwa hiyo ni vema ukalizingatia Hilo kabla ya kupost ujinga wako
Na.kama siyo mpuuzi na unakuja jukwaa la siasa na.hujui kinaongelewa nini zaidi ya kutukana nakushauri jifunze kwa kusoma na kuuliza ukishindwa nenda jukwaa la mapenzi, chit chat n.k huko kunafaa akili yako fupimkuu hapa jamii forum kuna watu wenye background tofauti kwa hiyo ni vema ukalizingatia Hilo kabla ya kupost ujinga wako
Mkuu labda nikukumbushe kitu, jaribu kutumia lugha yenye staha - usifikiri hatuna uwezo wa kutukana/kejeli,we can agree to disagree without offending anyone -don't U 4get that.Rasm ya pili ya katiba mpya ambayo Lowasa na chadema wana ahidi kuifufua si tu inafanya mabadiriko Bali pia kufagia uchafu wote ulioletwa na ccm ndani ya nchi hii.haya huyaoni kwa Kuwa akili yako ipo likizo.hapa unatumia akili ya magufuli,ulofa,upumbavu na tumbo lako