Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Nimeona tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo tangazo kuomba kujiunga na kozi ya "Master of International Trade" katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Sasa cha ajabu eti tena leo leo ndiyo mwisho wa kutuma applications!! Inakuwaje hii??? ni kupunguza idadi ya wataoomba au niuvivu wao tu hawataki application ziwe nyingi zitawachosha kuchambua!!
Sasa mie wa safarini Nachingwea ntatumaje maombi?
Sasa mie wa safarini Nachingwea ntatumaje maombi?