“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania. Yaani ameishi naye kwa muda wa miaka 10 bado anamwita msichana !!! Na kama angemwacha ni nani wa kuoa hivyo vilivyochacha.