Master J na Shaa kufunga ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,773
xShaa-na-Master-Jay.jpg.pagespeed.ic.VvnVGLGX_w.webp

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’.

Master J amesema Shaa atakuwa mke bora kwake kwani tayari ameshaishi naye kwa miaka 10 bila matatizo yoyote.

“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania.

Mtayarishaji huyo wa muziki alisema kwamba anampenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa, licha ya kuwa msanii hasahau jamii inayomzunguka huku akijituma sana katika kazi zake zote kwa ujumla.
 
Mtayarishaji huyo wa muziki alisema kwamba anampenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa, licha ya kuwa msanii hasahau jamii inayomzunguka huku akijituma sana katika kazi zake zote kwa ujumla
Vizuri
 
Kuchinguzana miaka 10 duh. Shaa awe makini asije vishwa pete ya uchumba nayo ikakaa kodoleni miaka 5. Amuulize mwenzie Maimatha alivalishwa pete akaa nayo miaka 6 hadi jamaa akafa bila ndoa. Bahati akaja ibuka mume akachukua mzigo jumla.
Alifiwa Na mume lini jaman?
 
Hiyo probation nimeipenda, miaka 10 doh. Anyway, mbona nilisikia Master Jay anamke?
 
“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania. Yaani ameishi naye kwa muda wa miaka 10 bado anamwita msichana !!! Na kama angemwacha ni nani wa kuoa hivyo vilivyochacha.
 
xShaa-na-Master-Jay.jpg.pagespeed.ic.VvnVGLGX_w.webp

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’.

Master J amesema Shaa atakuwa mke bora kwake kwani tayari ameshaishi naye kwa miaka 10 bila matatizo yoyote.

“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania.

Mtayarishaji huyo wa muziki alisema kwamba anampenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa, licha ya kuwa msanii hasahau jamii inayomzunguka huku akijituma sana katika kazi zake zote kwa ujumla.
Ila Joachim Kimario ( MASTER J) jamaa anaonekana ni mstaraabu (gentleman) na ana akili, nasikia anataka kurudi kwenye gemu ya uproducer
 
Back
Top Bottom