Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,190
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa, Mastar wanavyoteseka na mapenzi...
Tuanzie hapa BONGO kwetu, BONGO kama BONGO, yaani ukija kwa wasanii wakubwa kama ZUCHU analia jamani huko anapigwa matukio kisawasawa...
Pamoja na U STAR wake yaani hana furaha na malovee, kashapigwa tukio huko na Bwana SIMBA naona SIMBA kashakula Swala huko sasa mke wke SIMBA anapiga kelele.
Njoo kwa Maua huko analia kuwa hajawahi kuwa na furaha katika mahusiano yake hata mara moja
Uzi tayari