Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Nakosa neno sahihi la kukuambia ili kukudhihirishia ni kiasi gani umenifurahisha! Ahsante.....mtoto wa haramu hata ukimficha vipi kwenye chupa...yupo radhi ajiviringeviringe mpaka chupa idondoke ivunjike ili tu aonekane