Massive gas discoveries in Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,427
88,707
Solo Oil's Ntorya has the potential to 'change Tanzania' says Lenigas

08:05 06 Feb 2017

Entrepreneur David Lenigas tells Proactive: ''The really big impact one is this thing they're [Solo Oil PLC (LON:SOLO)] doing at the moment down at Ntorya''.

''They're talking 4-5 trillion cubic feet of gas in place - that changes a country''.

Lenigas also discusses LGO Energy [LGO Energy PLC (LON:LGO)] telling Andrew Scott: ''Trinidad - 80% of its economy relies on the hydrocarbon business, so Trinidad needs companies like LGO Energy to get in there and get producing''.

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji,Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Halafu manyang'au humu utaskia mara hawajulikani na cnn, sijui SGR ya umeme wataendeshaje.. Na ufala mwingine..
Fyi, Tunatusua soon na tutawauzia umeme wa bei chee kabla ya 2025!!
 
Sera zetu murua zimefanya uchumi wetu unanawiri, Hatujikombi kwa wazungu, tumejiweka mahala ambapo inawalazimu wanakuja wenyewe.
 
Solo Oil's Ntorya has the potential to 'change Tanzania' says Lenigas

08:05 06 Feb 2017

Entrepreneur David Lenigas tells Proactive: ''The really big impact one is this thing they're [Solo Oil PLC (LON:SOLO)] doing at the moment down at Ntorya''.

''They're talking 4-5 trillion cubic feet of gas in place - that changes a country''.

Lenigas also discusses LGO Energy [LGO Energy PLC (LON:LGO)] telling Andrew Scott: ''Trinidad - 80% of its economy relies on the hydrocarbon business, so Trinidad needs companies like LGO Energy to get in there and get producing''.

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji,Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

the best thing kwenye hii habari ni kwamba,sio gas tu imepatikana but also traces of oil in the gross reservoir interval.tutarajie mengi sana kutoka kwenye huo ukanda.
 
Asante kwa kutuongezea mirad labda nasi tutaajiriwa...changes hakuna nchi hii ata ile ya mtwara walisema hivyohivyo
 
the best thing kwenye hii habari ni kwamba,sio gas tu imepatikana but also traces of oil in the gross reservoir interval.tutarajie mengi sana kutoka kwenye huo ukanda.
Exactly. ..it is a very positive stuff
 
Waanze kutuuzia sisi wenye matumizi, tutajenga bomba liende kwenye hizo sites
Tanzania ndio penye matumizi makubwa ya gas, kwa taarifa yako 70% ya umeme Tanzania unazalishwa na gas asilia, Tanzania ndio kwenye matumizi makubwa ya cooking gas zinazotumika majumbani na pia Tanzania yapo magari yanayoendeshwa kwa nishati ya gas.
 
Kuna zaidi ya 150 Trilion Cubic Feet ya gas bado haijafikiwa kwenye ukanda wetu wa bahari. Habari kama hizi zitaendelea kutokea kila mara. Zanzibar wakianza ndio kabisa tutasikia mengi, kinachotakiwa ni viwanda vitakavyo tumia rasilimali hii kikamilifu maana uzalishaji wa bidhaa una faida zaidi ya rasilimali yenyewe.
 
Hadi sasa tofauti na umeme sijaona faida ya hiyo gesi ni kama hatuna kitu
 
Back
Top Bottom