Massive explosion in China's Tianjin

Massive explosion in China's Tianjin

Maze, hapa EAC tunafaa tuchange kila nchi mamilioni ya dolla kila mwaka ili tuunde an EA disaster management operation center ambayo itakua na helicopeters za kumwaga maji kwa moto mkubwa na kusafirisha watu, meli za ku okoa watu kukitoka janga baharini ama ziwani victoria, ama kuzoa mafuta ya oil yakimwagika bararini yakisafirishwa karibu na EA, ama ku deal na piracy coast ya EA. Pia tuwe na madaktari kama wa CDC, wagonjwa kama ebola yakitokea, tuwe na pesa na uwezo wakutumia technologia za juu kujitoa kwa majanga, maana vile tulivyo sasa, sioni kama tunaweza jisaidia kukitoka janga kubwa,.

Imajin ndege ya boeing ile kubwa kabisa ianguke katikati ya mji mkuu na kuuharibu na kabisa, je, tuko na uwezo wa kuokoa watu wengi kama hivyo? na mahospitali yana uwezo wa kuchukua watu wengi hivyo kweli bila usaidizi wa nchi jirani?

Mazeee hiyo makitu unayosemea katika thread hii nimeipenda sana, ngoja kwanza huu utawala wa TZ uliopo upite kwanza, by 2017 tuweke proposal mezani maafikiano yapatikane tufanye implementations. Salute boss
 
Back
Top Bottom