Massey ferguson 1080 (old school) na bidhaa nyingine

Massey ferguson 1080 (old school) na bidhaa nyingine

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,476
Reaction score
2,087
Habari.

Tunapokea ORDERS kwaajili ya Tractor Kongwe 'original' aina ya MASSEY FERGUSON 1080.

Zitakazowasili Nchini December 2016.-

*Zitashushiwa Zanzibar.

Ni diesel engine, zenye uwezo wa 80HP.

Bei:$20,000.(Dola elfu Ishirini)

Aina hii Kongwe ya Tractor ni mkombozi kutokana na Uimara wake pia Nguvu na ustahimilivu wake wa mazingira ya Afrika lakini pia, Upatikanaji rahisi wa spea zake Nchini kwa ujumla.

Vilevile ulaji wake wa mafuta ni mdogo kulinganisha na aina yoyote nyingine au zile zilizobatizwa jina kama Hilo lakini 'Under license'.

December zitawasili pia:
Industrial Plotter,
Scanners,
Mining Rock-breaker ya 100 HP. - Kwa uchache.

BIDHAA TULIZONAZO SASAHIVI ZANZIBAR :
1. FLAT SCREEN ZA COMPUTER (Monitors)

Aina ya HP,
Inchi za Kioo 17 na 19.

Zipo zaidi ya 100.

Tunauza kwa JUMLA.

KILA MOJA ni $30.

Zinatumia kiasi. Ila,
Zipo katika Hali nzuri sana.
Zinafaa sana kwa matumizi kwa Mashule/Vyuo (Taasisi za kielimu)

2. MINING COMPRESSOR,
Aina ya Cyclon 6000,CompuAir 100HP.
Bei : $1200.

Tunapokea Order pia kwa ajili ya Mashine/Mitambo na bidhaa yoyote ya kielektoniki kutoka Magharibi.

MAWASILIANO zaidi: +255-714-591548.
 
Canon camera d600 and above??? Video camera? Unazo??
 
Canon camera d600 and above??? Video camera? Unazo??

Mkuu,

Hizo hatuna kwenye mzigo unaokuja lakini tunao uwezo wa kukupatia hiyo pamoja na chochote kingine utakachohitaji.

Tafadhali nifahamishe unahitaji MPYA au Iliyotumika?

Kama upo 'Serious' tafadhali tuwasiliane kwa Majadiliano zaidi.
+255-714-591548.


Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom