Massage za Dar

Message bed shilingi ngapi mkuu? Nimewaza hapa nimeona bila kuinunua yangu nyumbani ili nifanyiwe tu na shemeji yenu, huko kwenye parlour sitotoboa kwa hali hiyo.......mi ndo dakika mbili tu wataniambia huduma imeisha maana mambo hayo sitoweza kuyavumilia.
 

Kama wewe ni faithful kwa mkeo kaka huhitaji massage bed. Kitanda chako hicho cha kawaida, nunua na ile wanaita Yoga Mat basi inatosha. Mkeo pia atapata uzoefu kadiri siku zinavoenda. Nakuambia kaka utaenjoy sana na wewe unakua na faida moja kwamba hununui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…