Massage Therapy in Dar es salaam

Massage Therapy in Dar es salaam

Masaji Therapist

New Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Tunatoa huduma za masaji kwa bei ya Tsh 15000 tu..Huduma inapatikana mliman city na ukihitaji kufuatwa Nyumbani kwa wagonjwa au wasiokuwa na muda tunakufata na gharama itakuwa elf 20 tu.kwa wenye uhitaji karibu Dm upate maelezo ya kina therapist wapo jinsia zote.
IMG_20190924_112028_197.jpeg
IMG_20190924_111509_449.jpeg
 
Mleta Uzi Anajibu Hayo Maswali Pm Nini Naona Katelekeza Uzi
 
Unachagua mtu wa kuja? Yaani unanipa picha nachagua au inakuaje
 
Back
Top Bottom