Massage Parlours/madanguro

Hivi wanajuaaa mapenzi kweli hawaaaa au inamaaaa twende..
 
Kwa hiyo mimi munishauri.nikienda.huko kufanyiwa massage nibebe box la kondom kabisa?
wala usiende
unaweza karibishwa na kilagi ikaonja Condom zikakurudia
kuna kinywaji cha south Africa kina rangi ya blie km wino (jina nimesahau)
ukinywa unahisi kuharishaharisha!1 mm nilionja sithubuti wala soda
badala ya kukandwa na vibintu watatokeza maMEN
HAYENI Mmwee mi simo
 

hamna shida yoyote maana ukiwa huitaji hiyo extra unakataa kama ulivokataa wewe hulazimishwi. Massage ni tiba ya viungo kama ulivyojieleza ulikuwa unasumbuliwa na mgongo kuuma ukaenda kupata tiba. Sema baada ya tiba ya massage ukishapona viungo kuuma kinaibuka kitu ingine nayo ni ashkiki, sasa kutibu hiyo ashkiki ndio huduma extra huwa ipo ambayo hulazimishwi, kwahiyo tuache hii mambo ya kulalama kila kitu wakati kuna option ya kupata huduma au kukataa.
 
leo wikiend imeanza na huu uzi unaanza kuchangiwa tena😀
 
siku moja nikiwa j'burg niliona SEX SHOP nikamuuliza mwenyeji wangu,akanambia ni wewe tu kwenda unachagua then una pay,dah
 
Duniani kote ndio ziko hivo. Massage parlour zina extra service,usishangae. Ni vile zinakuwa hazijarasimishwa na zingine zimerasimishwa
 

Hebu ni pm hiyo address mkuu tukapate huduma. Au weka hapa maelekezo.
 
Hivi nauliza niliwahi kuhudhuria hizi sehemu mikono ni hiyo hiyo kwa wateja Tofauti Tofauti hivi haiwezekani kuambukizana magonjwa kama HIV?.
 
Kwan dozi ya malaria inazuia kupiga mambo? au ulishitukizwa ukashindwa kujitetea?
 
Tatizo makahaba wengi hawajasoma na wapweke lakini wengi wangekuwa na elimu zao nzuri naamini wangeandika kitu kuhusu kuhalalishwa biashara yao hii -- tuwatambue hawa ni binadamu kama sisi jamani
Na wale dada zetu wa vyuo vikuu nao hawajasoma? Tena walio soma ndio makahaba balaa.
 
Mkuu wee hatari.Hutaki wakuharibia raha yako.Wanasema sana isije ikawa noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…