Massage Parlours/madanguro

Kaka ushafanya test...maana vyumba vya pale ni vodogo na wananyolewa watu wengi ambapo huo muda itakuwa ngumu kupata muda hata wa kutoa moja
mtu anainamishwa tuu,,kwan kwenye gari huwa inakuwaje
 
Arachuga zinapatikana wapi, tukawaungishe.
 
Yani hiyo huduma ya massage wanafanya kama extra tuu..but huduma kuu ni ngono
 
ujue mda mwngi tunakosa maeneo yakufanyia mazoezi, kuna shida ya hali ya joto dar ukitoka tu kidogo tayari unaloa jasho bila hata kufanya mazoezi unayoyahitaji, ukienda kwenye masaji parlours zina AC hivyo binti anakuchua taaraatibu mwili unausikia kabisa kila ukiguswa unajisikia kupata badiliko sehem aidha ya mgongo au kwenye mbavu wanasaidia jamani sasa kama umeambiwa kuna huduma zingine inategemea huyo binti atakuwa amekusoma nakujua kuwa akikwambia hitaj hilo hutapinga, nakumbuka mm kuna siku moja nilienda kufanyiwa masaji mahali fulani kwa mda wa saa 1 baada ya kukamilisha kuchua hakuniambia huduma nyingine nikalipa kaunta na kuondoka zangu sikuona hilo unalosema ndugu... tena lafuzi yake ilikuwa ya kiKenya hivi! labda sikupangiwa mtto wa Kitz ndo maana.

ukitaka upate mademu wakumwaga jiunge mtandao wa Badoo huko utokoma mwenyewe tena hawana bei sana ni ww tu mda wowote unapewa
 
Tatizo makahaba wengi hawajasoma na wapweke lakini wengi wangekuwa na elimu zao nzuri naamini wangeandika kitu kuhusu kuhalalishwa biashara yao hii -- tuwatambue hawa ni binadamu kama sisi jamani
Kumbe umekuja kuwasaidia kuitangaza biashara yao? Nilifikiri umekuja kulalamikia hiyo biashara? Au umekumbwa tu na msukumo wa baadhi ya walioanza ku comment thd yako?
 
Lakini kumbuka UKIMWI haujui huyu anaechukua makahaba ana grade ya Kinondoni makaburini au huyu ni wa New Africa,Jihurumie before it's too late!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…