Massage parlour

Fuata kilichokutoa mkoani. Ukitaka kila kitu unachokiona mjini kisikupite,pesa zote za mavuno ya mazao zitakuishia na hutobakiwa hata na nauli ya kurudia kwenu (just kidding)[emoji41] [emoji41]

kabisa mwambie mji huu si wapapara
 
Kawape hela uone watakavokumassage hadi mapumbu hayo. Dar sio sehemu ya mchezo mchezo
 
Mkuu ni vema mambo mengine kuyashuhudia mwenyewe ktk ujana. Yanaweza kukusaidia kuwa na utu uzima au uzee mwema.

Kula ujana...
 
Kumbe ni swali kwa wanaume wa dar tuu.. Basi Mimi sikujibu japo Nina jibu. Siku nyingine acha ubaguzi

Hutaki mteja wako nijue unachokifanyaga na yale majamaa yenu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️
 
Hutaki mteja wako nijue unachokifanyaga na yale majamaa yenu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️
Wewe si umewauliza wanaume wa dar?
 
Mi ni mwanaume wa Dar ila kwa sasa niko na wanaume wenzangu hapa Arusha. Sio mahala halisi pa kuliongelea hilo. Nisubiri nirudi Dar ntakuibia majibu nikupe. Vuta subira usivute bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…