Mwenyewe nilitaka nimuelekeze mitaa ya msasani na kinondoni makaburini ila basiKumbe ni swali kwa wanaume wa dar tuu.. Basi Mimi sikujibu japo Nina jibu. Siku nyingine acha ubaguzi
Usimwelekeze acha ale jeuri yake . anauliza wanaume wa dar kwan wanaofanya hizo massage ni wanaume tuu.?Mwenyewe nilitaka nimuelekeze mitaa ya msasani na kinondoni makaburini ila basi
Hahahahahaa anatarajia kupata pia papuchi za wahudumuWw kuna kitu unataka wakakufanye huko zaidi ya massage?
Hahahahahaa anatarajia kupata pia papuchi za wahudumu
NdioUpo vzr kwny haya mambo y massage?
Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem chache za jiji hili ikiwemo sehemu za sinza.
Naomba kuuliza hivi hizi sehemu za massage parlour swali langu ni je hua kuna shughuli zingine zaidi ya massage.
Naombeni majibu yenu hasahasa wanaume wa dar najua mna experience na hili...
Nawasilisha..
OMG....Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimwelekeze acha ale jeuri yake . anauliza wanaume wa dar kwan wanaofanya hizo massage ni wanaume tuu.?
hahaaa humu kila mtu mjuaji daahhh hahaaaa.haya majibu huwa mnawapatia na wenza wenu hivi hivi au ??Kumbe ni swali kwa wanaume wa dar tuu.. Basi Mimi sikujibu japo Nina jibu. Siku nyingine acha ubaguzi
Dah...huwa wanauza matunda pia...[emoji13]Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem chache za jiji hili ikiwemo sehemu za sinza.
Naomba kuuliza hivi hizi sehemu za massage parlour swali langu ni je hua kuna shughuli zingine zaidi ya massage.
Naombeni majibu yenu hasahasa wanaume wa dar najua mna experience na hili...
Nawasilisha..
geeeeezzzZZZNdio
Wenza wetu tunawabembeleza tena ukizingatia pasaka imekaribia.. Full kunyenyekeahahaaa humu kila mtu mjuaji daahhh hahaaaa.haya majibu huwa mnawapatia na wenza wenu hivi hivi au ??