Kabangaaaaa, yaani weeweeee...... hahahahahaaa kwa maneno yako haya... walaahi nayaprinti na kutembea nayo kama ushahidi kila niendapo huku nakutafuta ulipo. Na popote ntakapokukuta basi ahadi yako itakuwa deni kwangu na kulipa ndo itakuwa suluhisho, hakutakuwa na namna nyingine.
Nimefurahije kupata hii ahadi adimu....
🙂🙂🙂 maana ukimuona kabanga kapita mahali, utasikia.... aiseeeh, mmmhh, sawa... na mengineyo yafananayo na hayo
😛😛😛😛
See you soon
kabanga 😉