Kuna shida gani kwenye hiyo katuni? Au umeguswa kwa lipi?View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
View attachment 387395

Acheni kukopi kila kitu cha CHADEMA nyie, kwa ni lazima kuchukua maneno yote mawili ya mwanzo, kwani haiwezi kuwa UKM?... lakini akipewa discipline kuna wapuuzi watasema demokrasia inavunjwa ... Hii nchi acha tupelekane kibabe walimchezea sana JK.
sasa whats the point ya freedom of expression, huwezi ukamfungia mtu kisa kaandika kitu kinachokukera, thats not how it worksHapo analeta mambo ya vijiweni sio kazi hiyo
Anafanya kazi yake inavotakiwa, it maybe be provocative ila hakuna haja ya kuanza kumfungia
Kifupi umetaja ww ila yy hajafupisha...... lakini akipewa discipline kuna wapuuzi watasema demokrasia inavunjwa ... Hii nchi acha tupelekane kibabe walimchezea sana JK.
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Akili zako fupi.....ulikuwa unawaza nn...unaleta mambo umoja wa kumpongeza ..........hapa.....View attachment 387395