[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huu uzi @0 IQ ataupa tunzo,,
Mwanaume hafundishwi kuchepuka anachepuka mwenyeweAsiwafundishe wanaume zetu kuchepuka
Ahaa hapo sawaNi mimi
Kama hamtosheki mwaoa ili?Swali lako halijakamilika
Wengine wanaoa ila wana michepuko pembeni, wengine wanaoa wake wengiKama hamtosheki mwaoa ili?
Mumeo ana chepuka sana.Asiwafundishe wanaume zetu kuchepuka
Hata wewe. Dini yako tu ndiyo inakuzuia.Anaongelea wa dini yake, nini?
FaradhiKama hamtosheki mwaoa ili?
Huwa namshangaa wanaume wa hiviHata wewe. Dini yako tu ndiyo inakuzuia.
Ulianza kumjua mkeo baada ya kuzionja ngapi Mkuu?
Hata wewe. Dini yako tu ndiyo inakuzuia.
Ulianza kumjua mkeo baada ya kuzionja ngapi Mkuu?
Try meWanaume wenyewe nguvu zipo wapi za wake 2 labda awe wa mikoani sio wa dar
Ooh! Ila uaminifu ndio ngumu kumeza?Faradhi
We can't change nature ...hizi sheria za wanadamu ndo zinafanya uzinzi uzidi kukithiri!!!
Mungu fundi sana hata mababu zetu kiasili walikua na polygamy...!!!
NB;Povu kafulie ..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]