Ndiyo maana nimesema Masoud ni mtu mwenye akili nyingi sana. Hicho kibonzo kipo kama kinatupa "madongo" pande zote mbili...kinaweza kuwafurahisha hata wasiotakiwa kufurahi
Ishu hapo ni ndogo tu....Je, polisi nao wamekuwa wanasiasa mpaka kushindana na CHADEMA? Jukumu lao ni kuwatafuta wasiojulikana sio kukichafua chama cha siasa