Masoud Kipanya katika ubora wake. Tusaidiane kuielewa hii katuni

Hhahah ni mwendelezo wa mkia wa simba ambao umepita ktkt ya msamba wake, japo unaonekana kukatwa kidogo. Mi nashangaa ule mfupa wamevurumishiwa wote wawili, wameukwaa au simba kaudondosha!?
Uyo simba vipi,ana meno kama ya panya...harafu nikama ananjaa vile

Hee io nini apo chini,jamani jamani...mbona kipanya anamatusi ivo
 
Swala kashamchezea Simba kwa muda mrefu, Simba tayari ana njaa na Muda si mrefu hiyo swala atageuzwa kitoweo.

Mtu fulani mwenye mamlaka licha ya kuwa na uwezo wa kumshughulikia mtu fulani kutokana na maovu ayafanyayo amekuwa akimuhurumia na kujitahidi kumkwepa. Mkubwa huyu kwa sasa kashapata njaa kali na ni swala la muda tu mtu huyu atageuziwa kibao (kuliwa).

Naona ni kama move kati ya jpm simba na makonda swala
 
Nilichoelewa hapo ni kuwa pamoja na ubabe na mikwara yote ya Stone Tangawizi lakini akifika kwa kijana wa call me J anaufyata!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom