Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Huu mlima mbona haupandiki hata iwaje!!! Inamaanisha kuwa Chadema watakuwa waneanda hapo panapoanzia mlima then gali yao itashindwa kupanda halafu itarudi tena nyuma kuanza safari upyaaaaa
 
HHapa wafuasi wa Chadema utawajua tu, wala hupati shida kuwatambua.
Haaa haaaaaaa
 
Heshumuni mawazo yenye weredi hata kama yanawaudhi......Kipanya ametumia Weredi ktk hoja yake ya ukiona mbali.....
 
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
Utakapolazwa selo masaa 48 bila sababu ya msingi utagundua kuwa kumbe nayo ni hoja ya upinzani, utakapotoka kwenye shughuli zako saa mbili asubuhi ukajipumzisha ukaja kusombwa na kupelekwa kambini utagundua kumbe hoja za wapinzani huwa haziishi yaani ni endelevu. Upinzani si ubishi bali ni kuikumbusha serikali na ninaamini Rais atahitaji sana upinzani ili kumsaidia kujua mapungufu ya serikali yake
 
Kipanya hayuko sahihi bali anafanya propaganda na kujipendekeza kwa JPM . Hajui siasa ni kama mvua za masika na hazitabiriki. Majipu anayotumbua JPM mengi ni MaCCM chama tawala. Sidhani kama wanamfurahia bali wanampongeza kinafiki tu. Hivyo hicho kilima kinaweza wakati wowote ule kikawa barabara tambarare ya lami mpya kwa CHADEMA.
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Inawezekana lakini hatujui kwa nini gari alilochora lielekee kulia mwa picha ,hayo ni maono yake vipi kama baada ya siku kadhaa picha ikageuka clockwise -unahisi nini kitatokea.Mawazo mgando ni hatari kwani siku hazigandi.
 
Tatizo LA watanzania hawana jawabu LA chanzo ncha matatizo yako!.
Kama katuni INA maana ya kisiasa ili takiwa iwe

ccm Na Tanzania siyo chadema au Ukawa!!

Hivi Hamuonib magufuyfuli alishashindwa kabla hajaanza !!
 
uyu jamaa alimtabiria lowassa mapema na kilichotokea dah!!
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Kama ambavyo ule mchoro wa januar makamba ulivykosa mtu wa kutafsiri juu ya serikali ya magufuri
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Kaikosea kidogo, ilitakia aonyeshe na linakotoka kuwa barabara ilikuwa mteremko.
 
Tusimkosoe kwa mihemko.

Hajatabiri chama kufa, ila kwa hali ya kisiasa ilivyo na tabia ya UKINYONGA ya watanzania, ni kweli kabisa safari ya 2020 ni ngumu kwa upinzani.
Kuna mwaka wowote ule mwana ccm aliwahi kuitabiria mazuri cdm? Au kuna mwaka mwana ccm aliwahi kuipongeza cdm?hizo ni bhangi na muendelezo wa kujipendekeza kwa watawala ili kupewa nafasi za kazi kwa huruma
 
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
Wewe mwenyewe ni mweupe kichwani na ni chumia tumbo,kujipendekeza mbele kwa mbele kama wimbo wenu unavyosema,njaa itawatoa ufahamu na bado
 
Back
Top Bottom