Masoud Kipanya anakaribia kuwa jipu...

barwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
238
Reaction score
160
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
 
Du hatari mana hata mimi nilikua sijui kuwa hiyo rushwa ni ya bunge jipya
 
Demokrasia inasema "freedom of opinion" sasa kama wakimzuia watadhihirisha wazi hii nchi haina mrengo wa kidemokrasia
 
Waandishi wa habari wanatakiwa waache kulamba viatu vya wana siasa, waige mfano mzuri wa Masoud Kipanya....

Waandishi wengi ni walamba viatu vya wana siasa.
 
Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
Chora katuni yako uwasilishe unayoyaamini wewe.
 
hapa anavurugavuruga tu, ila wananchi hali bado mbaya

Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...
Hapa kakosoa bunge..bunge lina uhusiano gani na utendaji wa rais???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…