Hakunaga kosa kwenye uchoraj wa katuni kila alama hubeba ujumbeKipanya ni konyo!! Sasa mbona kamuweka na shimo kwa kichwa! Akimaanisha.....
Simpendi kabisa huyu sijui Kipanya sijui kinini?!?!?Tunamchukia sana kipanya kwa kumchora vibaya rais wetu.
Kimbunga chaja ka hana.Ila huyu anayo degree ya fani yake?
Kwani Albert Einstein,zuckenberg,Steve jobs walikuwa na degree kwenye fani zao??Ila huyu anayo degree ya fani yake?
Kanuni =katuniMchora hiyo Kanuni, lini utamchora Rais wetu vizuri? Ikiwa ni lazima umchore!
asante ni KatuniKanuni =katuni
Mchora Katuni! Lini utamchora Rais wetu vizuri? Chagua zuri hata moja basi na ulichore!
Kudandia mkwama kwa mbele kutakuumiza weweTunamchukia sana kipanya kwa kumchora vibaya rais wetu.
Kwani MESSI ana digrii ya fani yake ?Ila huyu anayo degree ya fani yake?
Tunamchukia na nani? Sema kwa nafsi yakoTunamchukia sana kipanya kwa kumchora vibaya rais wetu.
Tunamchukia na nani? Sema kwa nafsi yako