Masopu sopu ya Hausigeli.


Wanacho chama kinaitwa CHODAWU(Catering,Hotel,Domestic and Allied Workers Union) chini ya TUCTA
 
Unaambiwa huyu ndo dada wa nyumbani mzuri na mwenye sifa zote na anipenda kazi yake, mzuri wa sura umbo na tabia wala hajaweka vikorombezo
mwenye nyumba wake alikuwa anamsifia ukimgombeza hanuni anaomba msamaha anajirekebisha
msafi
ana adabu
watoto wanampenda
hana kiburi
msikivu humwambii kitu mara mbili
anaipenda kazi yake an anaijali sana
 
huyu dada namfahamu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hata hivyo amekupaje picha yake.
 
hongera kwa mama yake ambaye ni boss wake kikazi!!
 
Msichana wa kazi kujipenda ni vema sana. Isitoshe unapokuwa na msichana kama huyu unauhakika wa kuwa salama kiusafi ndani ya nyumba na ubora wa chakula. Ni vema tukajali pia haki za binadamu kwa kutowanyanyasa wafanyakazi wa ndani na pia wanaume tujitahidi tusiwake tamaa kwa msichana wa kazi anayejipenda na kujitunza vizuri, tumpe naye bahati yake ya kukutana na ampendaye na pengine ndiye atakayeweza kuwa mume wake.
 
Nani kakupa kibali cha kumchapisha HG wangu?
 

ndugu umenena ukweli, Tanzania bado tuna dhana ya kudharau kazi za chini, tumeathirika na colonial legacy kuwa white collar job ndo nzuri nyingine zote utumwa.

Mimi sichagui kazi mzigo wowote napiga unless ni haramu. Obama mwenyewe baada ya chuo aliuza kiosk itakuwa sisi tuliopo bongo??

Tubadilike kazi ni kazi.
 
Naomba niulize swali. Ni house girl hapa tz au nchi nyingine? na anafanya kwa Mtz au kwa mtu mweupe? Nauliza hivi maana ninavyowajuwa dada zetu wa kibongo walio wengi house girl akiwa cute hivi inatosha kumkosesha kibarua, si kwa roho mbaya wala nia mbaya ila tu kunusuru ndoa.
 
sorry i beg to differ, my wife wouldnt have such uggly for house girl, unless my kids refuse to work on their home work

post picha ya mkeo tumlinganishe na huyu dada... mharibifu wa mahausigeli wa majirani we!
 
Ni wa HAPAHAPA, Shindano liliendeshwa na Clouds Fm kupitia kipindi cha leo tena.
 

Nice one. Hebu smile kidogo basi.
 
Kifaa kweli kweli jamani cpati picha baba mwenye nyumba na watototo wake wa kiume wanavyogongana.....

Baba anaweza kuwabadilishiwa wanawe wa kiume attitude bila sababu, lakini ukichunguza kwa makini unakuta na baba anahitaji share hapo. Aahaaaa...aahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…