Masood Kipanya na corona

Corona ni kaugonjwa kadogo, ni mafua tu haya. Lakini wamenunua dawa kutoka Madagascar kujihami.
 
Kuna kiongozi ametangaza kuwa hali ni shwari ilhali anaelewa fika kuwa amemkumbatia corona mwenye bisibisi.
Mi nimeona kama dhihaka tu ile. Unasemaje hali sasa ni shwari na ilihali hujawahi kutuambia tulipokuwa kwenye hali tete!
 
Mbona kuna kipindi alikiri watu wanapukutika
Mi nimeona kama dhihaka tu ile. Unasemaje hali sasa ni shwari na ilihali hujawahi kutuambia tulipokuwa kwenye hali tete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…