Masonic Church

Masonic Church

30a09f76787d43a8168511ee0d8b424b.jpg

Kuna vitu vigi tu wamebuni kama hivi mpaka michoro,hawa ni mashetani,si binadamu,wana uvuvio wa kishetani.
 
hii picha maneno ya church of luminants ambayo yameandikwa na photo editor...yana maanisha ruminants au illuminats? hao watu mnawakuza wenyewe kwa kuedit picha kama hizi.....
 
hii picha maneno ya church of luminants ambayo yameandikwa na photo editor...yana maanisha ruminants au illuminats? hao watu mnawakuza wenyewe kwa kuedit picha kama hizi.....

Embu niiangalie tena kama imeeditiwa....hata kama haijaeditiwa si kitu chaajabu coz kila mtu anaimani yake.. kuna imani ambayo wanamwamini ng"ombe,nyingine,wengine wanaamini mizimu nk ila kwangu mimi naona zote poa tu mbaya ni ile onayoamini katika kutoa roho za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom