donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
where is he?
Upuuzi tu! Wanakuathiri nini wewe?
umejuaje kuwa ni masonic church!
Yanakuhusu?acha ujinga kaka
Mbona maelezo ya jamaa yanajitosheleza?...hizo ndo dressing codes zao and its no doubt kwamba hao ni Masons!Can't see any problems there!Google sio biblia au msahafu..leo nikichukua oicha yako nijatebgebeza stiry kwamba wewe kichaa tujaweka kwa blog..mtu akikusearch arasona wewe ni kichaa..je ni sahihi? Si unaamini google
Hii post inaelekea kuna watu imewaudhi sana for no good reason......Usifiche hekima zako ila ficha vyote. Sasa kupost picha kuna tatizo gani? No offense but nadoubt uwezo wako wa kufikiri blaza, sorry.
Hii post inaelekea kuna watu imewaudhi sana for no good reason......