Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,860
Wakuu habarini? Poleni na majukumu.
Kwa mzazi au mlezi aliye na mtoto mwenye uhitaji wa kusoma masomo ya science mwalim nipo.
Eneo ni Ubungo Riverside. Pia kwa wale private candidates na QT mnakaribishwa.
Kuna wengine wanaorudia mtihani wanafanya kazi pengine hawataki kuja kituoni naweza kukufuata sehemu uliyopo (tutaelewana malipo ya kukufuata)
Hutojutia kufundishwa. Mnakaribishwa.
Masomo yatakayofundishwa
1. PHYSICS
2. CHEMISTRY
3. MATHEMATICS
4. BIOLOGY
Kwa kidato cha 1 paka cha 6
Phone # 0765991551