Masomo ya science

Masomo ya science

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,011
Habari,
Natafuta tempo ya kufundisha masomo ya science, chemistry biology na geography kwa shule za mkoa wa singida.
Mawasiliano 0762222563
 
Nipo chuo nachukua barchelor of science education.

Unataka kufundisha A-level au O-level? Na ungependa ulipwe mshahara kiasi gani? Maana waajiri wa siku hizi wanapenda sana "cheap labour"
 
Nipo chuo nachukua barchelor of science education.

hakuna haja ya kutafuta tempo, tafuta darasa fundisha tuishen za jioni, utapata vichwa tuu, au anzisha program tembelea shule za bording ulizokaribu nazo andaa mapindi ya kuwasaidia jioni, mfano unaanza kwa kwenda kama msaada wanapokuwa wanaenda prep wewe unatafuta class moja unawajaza unawapiga topic kazaa, wakiwa wengi baada ya wiki unaanza kuwacharge kila mtu anachangia 200 au 300 utajikuta unajaza darasa la watu 50 so hutokosa 10000 per day, kumbuka shule nyingi za serikali hawako taiti sana prepo za jioni wanawaacha wanafunzi wanajisomea mpaka wanakesha class. Wenzio tumepiga maprogram kama hayo yalipochanganya tukaanza kutembea mikoani shule kama Iyunga, Ifunda, tabora, mazengo, tosamaganga, mkwawa zote nimekanyaga huko kijana.

pia ilifika kipindi watoto wa seminali ya mbalizi wakawa wote wakifunga shule wananitafuta nawafungulia darasa, changamka kijana
 
Umepewa maoni na mdau hapo juu. Yafanyie kazi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom