Confidence ya kujiajili haihitaji degree, diploma au advance,
Ukisomea degree fulani au diploma fulani, maana yake unaandaliwa kuwa mfanya kazi.
Kila unahokiona kinachohusu elimu kipo ktk mpangilio maalum.
Kwa sababu hakuna pesa za kuwalipaMbona sasa hamuwapi kazi na hawajiajiri, nini tatizo?
Kwamba tuondoe kombi halafu A'level waende wasome Acc,CS,udaktari n.k
Hello JF,
Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level?
I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata kujiajiri..........
Sio sasa miaka mitatu ya chuo inawezekana inatosha..ila mimi sidhani inatoa watu competent na ndio maana watanzania tunafeli vibaya kwenye soko la ajira as compared na nchi nyingine....embu fikiria mtu anaenda kwa mfano kusoma Accounting wala hajui basics za Excel kisha anafundishwa ku cramm 'matirio' ya anachosoma, baada ya miaka mitatu ya chuo,huyu kweli ameiva????
********* however nawapa heshima yenu wote mliomaliza chuo salama,either by independent learning ama kwa Ku cramm, sio kazi rahisi!..LOL
Yapo mbona.Sema ni kwa private schools.Of course sio masomo yote yatafaa kufundishwa..vitu kama u nurse udaktari ni vigumu,ila masomo mengine..hata u engineer,Accounting,Information Technology vyote vinafaa kuwekwa Advanced Level,
hahahah kwa nini mkuu?
Chuo ni kila mmoja aenda somea fani. Ni ngumu kufundisha masomo ya chuo A level kwa sababu combination moja ya A level inatoa fani nyingi. Mfano PCB kuna wengine wanakwenda kuwa wafamacia,wengine éducation,kuna wengine waenda soma Bcom etc.
Unajua pia maisha hayana formula. Ndo maana kuna mtu anasoma PCM akiwa anataka kwenda Engneering, ila baadae anabadili gia angani anakwenda Bcom.Nimekuelewa,nachotaka ni watu kutoka/kumaliza safari ya elimu wakiwa wameiva,kuna masomo /combination kweli haiwezi kufundishwa A level ila mengine mengi tu yanafundishika..kwa mfano umetaja Pharmacy, hivi ni kweli hatuwezi tukaunda syllabus inayfundisha basics mtoto akaanza ku specialize akiwa secondary???
Itakuwa burdensome.. Hata hao private schools si lazima...Nao wanayasoma partially tu.iwe kwa wote,au wewe huoni kama ni wazo zuri?
Unajua pia maisha hayana formula. Ndo maana kuna mtu anasoma PCM akiwa anataka kwenda Engneering, ila baadae anabadili gia angani anakwenda Bcom.
Kwa kutokea form four,baada ya hapo ndo maana kuna diploma na certificates. Kwa mtu anaetaka kujikita kwenye fani mapema anayoipenda kabisa anaweza kwenda diploma ya Pharmacy na baadae akaendelea degree.
Fikiria watu wa PCB mnaanza kuwafundisha pharmacology.Mimi naona hizi contents ambazo ni kama mizizi ili kuweka matawi baadae huko vyuoni kwa course mbalimbali. Basics zote zipo nitasemea PCB maana ndo naifahamu zaidi Analysis,organic chemistry ndo baadae zinatumika huko kwenye kuingia deep kwenye madawa n.k.Biology ndo ukiwa unaingia deep kwenye physiology na Anatomy ndo unakuwa na misingi kabisa unakumbuka femur,Tibia sijui na mifumo yote unakuwa na basics tayari.
Mimi niseme tu kama mtu anataka kuingia deep kwenye fani anayoipenda kwa dhati akimaliza form four aende direct chuoni akaanze na diploma.