hayo masomo yanaumuhimu gani na ulazima gani. kama anapata miambili ya kumuendeshea siku basi ni bora kuliko kutelekeza familia.Habarini Wakuu!
Kuna jamaa yangu wakaribu sana kaja kuniomba ushauri,
Kisa ni hivi, Anatarajia kwenda kusoma mwezi wa 9 kwa miaka 5 ijayo! Lakini hawezi kwenda na familia yake (wife with 2kids) Sasa isue ni kuwa ataweza muamini mke wake kwa muda woote huo(Meaning amuache Tz while she is just 26yrs), Aende na wife na familia yake kibishibishi(ukizingatia itamuwia vigumu kiuchumi) au aende amuache wife akijua sio wake tena!
Keep in mind anamuacha nyumbani kwake na usafiri wake pia anamuachia!
Binafsi nimemuambia Kama mungu alipanga waishi pamoja atamkuta safe, otherwise sio vibaya kwani ana watoto wake na ndio itakuwa urithi wao! Wadau kwa ushauri zaidi hapa manage jamaa yuko desperate
This is a private business. HAYATUHUSU. Leteni mada za maana.
Ndo maana ya ushauri! Kama huwezi toa ushauri si ukae kimya? Kwani umelazimishwa
hahahaAsiache mke nyuma .. Other wise atarudi na elimu yake .. Ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya familia, BuT huenda familia isiwepo tena lol.
Chezeya dushelele na papuchi wewe !
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Join date 30 august 2007ka dogo huwa kanakurupuka kabla hata hakajasoma kilchomo kalichoandika hapa pitia mada zote utakuta sawa sawa.
mada zako za maana ziko wapi wewe?umekalia kucopy na kupaste comment zako kwenye kILA MADA