Masoko na mahusiano ya umma

Masoko na mahusiano ya umma

Wendo94

New Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
3
Reaction score
4
Habari zenu wadau,
Mimi nimesomea mambo ya masoko na mahusiano natafuta ajira nina diploma. Kama kuna mdau mwenye connection au kama alisikia kuna mahali ofisini kuna mchongo tafadhali naomba anijulishe CV, vyeti vyote ninavyo viko tayari na barua pia.
Asante
 
Uliamua kusomea udalali sasa unaomba kazi gani?
 
Back
Top Bottom