johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Nimemsikia kamanda Sirro kupitia E fm akisema wanawashikilia baadhi ya wasanii ambao watapandishwa kizimbani leo.Je Aggy ni miongoni mwao?naelekea kisutu nitawajuza lakini lengo nataka nikamwone mubashara sometimes picha zinadanganya!