mi huyu dada namuonaga zero
Kweli warumi sasa nimeona umuhimu wa ushauri uliompa huyu Agnes juzi kati hapa.Ona sasa anaaibika (kama ni kweli maana Shigongo haaminiki aisee)
Zero kabisa.Yeye anadhani atabaki mzuri milele? Ona sasa bado msichana lakini kapigwa kibuti kachakuliwa mwenzie.Akianza kuchoka je?
Heaven on Earth nifah Dinazarde @ms lincoln geniveros Evelyn Salt kujeni uku mumpe pole shoga yenu yamemkuta makubwa
Imebaki historia tu, yeye alishindwa ata kufanya biashara uko akalipa kodi mpaka anafukuzwa? Mmh aibu sana huy mrembo akili hana, kapata bahati kachezea
Yupo bongo ,nasikia ni kweli katimuliwa south, sasa ivi anahangaika kutafuta chumba mbezi beach, ila nilimpa ushauri hakuufanyia kazi, angesoma ata mambo cosmetics kama zari, ona sasa anarud bongo kichwan patupu, lugha yenyewe hajui basi kazi tupu, yan bor unyimwe tako upewe akili, kapata bahat kapangiwa nyumba nzuri yeye anawaza kufanya umalaya
Hahahaaa,itabidi sasa tubadili usemi tuseme kua "usililie uzuri lilia akili" maana unaweza ukapata bahati ukashindwa kuitumia lakini akili utaitumia katika kutafuta pesa.