Omar,
RA anafadhiliwa na nani?
Bwana mdogo Omar,
embu kua kidogo, unajidharirisha wewe mwenyewe, famili yako na hata marafiki zako. Madai yako dhidi ya Mengi yanaonyesha shule haijakusaidia kabisa, kwani kimpangilio wa hoja unaonyesha kabisa uwezo wa hao role model wako kuwa walishindwa kazi ya kukufundisha shule. Dogo uko shallow sio kwa hoja tu, bali hata mpangilio wa habari yenyewe, "inasemekana" au "inahisiwa". Kijana umeenda shule, mbona unaandika kama profesa "maji marefu"?
Hapa sasa tunaelekea kule; inafuata kuwa: Rostam anafadhiliwa na Iran na UAE nchi ambazo zinaunga mkono wa Palestina; Mengi anafadhaliwa na Israel na Marekani nchi ambazo zinaunga mkono uwepo wa Taifa la Israeli. Kimsingi huo kumshambulia Rostam ni kujaribu kwenda kinyume na nguvu zilizoko nyuma yake na kumshambulia Mengi nayo inakuwa hivyo hivyo...
well.. tukiendelea kufuatilia hili linatupeleka hadi wapi katika misingi hiyo ya siasa za Mashariki ya Kati?
Hili la Waislamu ni collatoral demage ya makosa yake....anione nimshauri jinsi ya kuepusha kuanguka upande huo maana gharama zake ni kubwa zaidi......sio kwake pekee bali hata kwa mustakabali wa nchi yetu pia...
omarilyas
Iwapo nitakuwa na mtu mzima yeyote anayehitaji ushauri wa jinsi ya kuongea na watoto na tena wenye matatizo ya mtindio wa ubongo, wasioweza kuchambua pumba na hoja nitamshauri akuone. Hiyo yaweza kuwa ndiyo niche market yako kushauri not Mengi or JF Members!
Hii nayo ilikuwa na umuhimu gani? come on guys kwani hatuwezi kujadili hoja hadi muanze kutukanana na kudharauliana, kupishana fikra ruksa lakini tubaki na utu wetu haina haja ya kuanzisha matusi kwenye kila thread. Its friday people show love.
Hili la Waislamu ni collatoral demage ya makosa yake....anione nimshauri jinsi ya kuepusha kuanguka upande huo maana gharama zake ni kubwa zaidi......sio kwake pekee bali hata kwa mustakabali wa nchi yetu pia...
omarilyas
Katika hiyo habari maneno muhimu kwangu mimi ni Inasemekana, baadhi wachambuzi wa siasa na wadau wa karibu wa IPP. Kwahiyo ni habari iliyokaa kitheory theory tu........................
bashe mpinzani wa seleli??????Duuuh, tunaomjua Omar ni wengi basi. Mi sikutaka kumgusa Omar kama Omar, najua anamezeshwa na kina Zitto na mpambe wake Hussein Bashe mwana wa Rostam ambaye ndo mchonga deal za hela za kumsafisha JK.
Kuna watu wanahitaji kuwa treated namna hii, na huyu bwana mdogo ni mmoja wao.
This Day kwani ni watu wanaoipenda kazi yao na hawana majungu wala hawajipendekezi kwa mtu yeyote. Ni kundi la marafiki wa muda mrefu waliofanya kazi pamoja kwenye vyombo mbalimbali na wenye mshikamano wa hali ya juu. Na hii ndiyo sababu kubwa ya mafanikio ya magazeti hayo kuweza kuandika habari nzito za ufisadi kwa muda mrefu sasa bila kuyumba. Naamini Mengi mwenyewe anawaheshimu sana wanahabari hawa, hatapenda kuona wakisambaratika.
.....Bwana mdogo Omar,
embu kua kidogo, unajidharirisha wewe mwenyewe, famili yako na hata marafiki zako. Madai yako dhidi ya Mengi yanaonyesha shule haijakusaidia kabisa, kwani kimpangilio wa hoja unaonyesha kabisa uwezo wa hao role model wako kuwa walishindwa kazi ya kukufundisha shule. Dogo uko shallow sio kwa hoja tu, bali hata mpangilio wa habari yenyewe, "inasemekana" au "inahisiwa". Kijana umeenda shule, mbona unaandika kama profesa "maji marefu"?
....Katika hiyo habari maneno muhimu kwangu mimi ni Inasemekana, baadhi wachambuzi wa siasa na wadau wa karibu wa IPP. Kwahiyo ni habari iliyokaa kitheory theory tu........................
....Kuna watu wanahitaji kuwa treated namna hii, na huyu bwana mdogo ni mmoja wao.