Mapropesa wanakula kwa urefu wa kamba zao siasani, kwa mfano Prof. Kabudi, Prof. Kitila na Prof. Janabi
Maprofessor Matajiri hasa Tanzania hii ni wanne tu:
1) Professor Maji Marefu
2) Professor J
3) Professor Lipumba
4) Professor Ndumilakuwili
Wengine ni kujiita tu.