Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,832
- 7,973
Watu hawataki mshahara,bali wasicho kitaka ni kuwepo kwa UCHAFUZI.1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kuna kiongoz wa ccm ambae hana hizo?1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Utaendelea kuwa maskini mbwa ww1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Hivi wale Wazee wenye Mvi mkawafanya kuwa Bodaboda na kujifanya kutoa matamko ya kuigiza mmewatoa wapi...!?1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Ulichoandika ndivyo wajinga akili zao zilivyo. Nani atakomboa nchi? Ni common men.1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
naona fuzi imekatika, tunaongelea katibu mkuu chadema😂😂 think tank ya ccm imesizi naona saizi hawana kipya, wtz washindwe kuhoji 12m za wabunge wanazopewa bure waje wahoji za katibu mkuu ccm?
Mgodi gani inalipa intern mshahara hiyo? Pale GGM front line manager ndiyo analipwa hiyo.mshahara kiduchu, yaani ni mshahara wa intern bank au mgodini, kha ndo ukotayari kufa?
Hizo data ni za uwongo!?Vijana wa ccm ni Wajinga sana
Ng'ombe wa samia ww hujui chochote,Bata wewe!.naona fuzi imekatika, tunaongelea katibu mkuu chadema
mwambieni heche aende vatican msibani wakuu wote wa umoja wa ulaya watakuwa paleNg'ombe wa samia ww hujui chochote,Bata wewe!.
Vipi wewe afande mshahara wako upoje?1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
graduate anaenda na viatu anarudi peku na bila shati dah1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Wale bodaboda +Wajasiliamali wamegoma kuandamana, una maoni gani???Vijana wa ccm ni Wajinga sana
Hayo ya katibu mkuu sisi hayatuhusu tunachotaka ni haki tu ktk taifa letu1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Hashimu Rungwe ukagombee!!1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Too low 🚮1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kwani mahakama hairuhusu bodaboda kusikiliza kesi?1. Mshahara 7m TZS/mwezi.