Maskini tembo wetu

Kwakweli inaskitisha sana,tena sana ila wahusika hawasikii hata chembe
 
Kikwete baba hivi inahitaji wazungu waje ndo upambane dhahiri na Ujangili baba???
 
Ivi pembe za tembo zinatengenezwa nini ambacho thamani yake inazidi uhai wa tembo mwenyewe?

Dawa hasa za nguvu za ngono, na kwa bara Asia zinatumika kwenye mambo ya kishirikina na kuleta bahati mali nguvu na umaarufu
 
Ukatili huu utaisha lini ee mungu, halafu utakuta MTU anasema I did that. God forbid lakini ningekuta wanafanya tendo hilo I could do the same to them
 
Ivi pembe za tembo zinatengenezwa nini ambacho thamani yake inazidi uhai wa tembo mwenyewe?

Inasemekana huko mashariki ya mbali huzitumia kama dawa,pia ni sign ya utajiri vipusa hutengenezea mapambo
 
Kwakweli inaskitisha sana,tena sana ila wahusika hawasikii hata chembe
Kikwete baba hivi inahitaji wazungu waje ndo upambane dhahiri na Ujangili baba???
mkoroshokigoli mheshimiwa alishasema amechoka na anataka kurudi Msoga akapumzike
 
Last edited by a moderator:
Ukatili huu utaisha lini ee mungu, halafu utakuta MTU anasema I did that. God forbid lakini ningekuta wanafanya tendo hilo I could do the same to them

Tembo wetu watakapokwisha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…