Maskini Tanzania Yetu

Maskini Tanzania Yetu

Hayo magazeti, ata siku ya iddi kwao hawakuona ni muhimu, kisa Magufuli alikuwa mgeni rasmi, sasa hayo mengine si muendelezo uleule, kwanza bunge mmelikimbia wenyewe, na nina mashaka lingekuwa live bengine mngebaki,maana sababu za kumkataa naibu spika ni za kijinga, Spika mstaafu aliwakatalia kujadili mambo mangapi na bado mlibaki bungeni?, sasa kwavile mmekosa sababu za maana na mnachofanya sasa ni kutaka tu kuiyumbisha nchi kwa maksudi ndio maana maamuzi hayo yamefikiwa, especially kwa watu ambao they can't manage themselves
 
Shukrani Mkuu hakuna mwenye hati miliki ya Tanzania, nchi hii ikiingia kwenye giza nene basi gharika litakuwa ni kwa Watanzania wote bila kujali itikadi zao au kama wana vyama au la.
Hapqna unayoyataka yatakujuta pek3yako
 
It is too long to read and unfortunately the flow does not suggest to read further

Wabongo kwa kulalamika ni no.1
 
Magufuli anaweza kuwa na nia njema sana na tanzania

Lkn hawezi kukamilisha ndoto yake kama taifa limegawanyika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
It is too long to read because your comprehension
ability is ZERO.

It is too long to read and unfortunately the flow does not suggest to read further

Wabongo kwa kulalamika ni no.1
 
Ndugu yangu CCM wanadhani watatawala milele.
Kuna haja ya vyama vya upinzani kuwa smart uchaguzi unaokuja mbona CCM walishapotea siku nyingi basi tu nikwavile wanatumia nguvu ya dola kutaka kurudisha imani kwa wananchi Lakini kamwe hawatofanikiwa.

Ukitaka kutambua hivyo mwangalie magufuli anavyo jitahidi kutembelea kivuli cha Lowassa katika majukwaa ya kidini yaani hana vission kabisa na tumekwisha mstukia dawa yao tume huru ya uchaguzi tuone kama hajaisoma namba 2020.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom