Maskini Sweetlady

KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!
Hahahahaaa
Mbona alostahili ban ni Crashwise na ilipasa kubadilishiwa kifanyio sema tu nimemsamehe
 
Last edited by a moderator:

Ngoja na mimi nimchokoze King'asti ili Paw anipe ticket ya kwenda servan nikaonane na sweetlady, na kaubaridi ka kwenye server lazima tutengeneze katoto.
 
Last edited by a moderator:


Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Arushaone saga chupa unywe

Filipo thanks a lot dearest....... Maandamano yako yamefanya nikaachiwa huru...... Hawa police wa jf ni balaa yaani wanaacha kwenda kuwakamata wahalifu wanaolipua makanisa wanakuja kunikamata mimi mtoto mtakatifu......


Thanks again & mwaaaaaaaaaaaaaaaaa...... PakaJimmy utajiju
 
Last edited by a moderator:

Taratibu mwaya mama mtoto. Wabaya wako wote nitawaangamiza.
 
Last edited by a moderator:

pole sweetlady ulifanya kosa gani hadi ustahili kusulubishwa asubuhi asubuhi ivi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…