Kama baba mzazi nimesikitika sana...
Ntagia umfumanie sosoliso na yule binti wa shule ya msingi unadhani kila mtu ana kwenda.
Wewe sweetlady umekosa fadhila aisee lol. Nilikwambia naangalia jinsi ya kukufungua mnyororo wa jela, ila ulivyotoka tu unanitaja wa kwanza eti nisage vyupa!! Haina noma ila ngoja nitarudi.......!
Hehehehehe..... So unataka nije zis wei kumchukulia hayo maembe mabichi au?
kanisani kwetu kuna maspika makubwa mie najisalia zangu nje tu.........tena najitenga peke yangu....milipuko inalenga watu wengi
uzuri wake ninakaa ghorofani chini msikiti................Hahahahahaha, ..... Sahivi milipuko tunaanza nyumba kwa nyumba..... Huchomoki asee
uzuri wake ninakaa ghorofani chini msikiti................
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!
HahahaaaLol! Kha ha ha ha ha ha ha haaaa!
Erickb52 Habari yako bana!
Kiongozi kumbe ulikuwa unaangalia kwa makini tu!