Maskini Sweetlady

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
9,347
Reaction score
5,555
Last edited by a moderator:

Acheni kumfatafata bana yaani kumkataa erick52 ndiyo mmpige ban
 
Last edited by a moderator:

Amepigwa Ban eti kisa udini kha!
Maskini sweetlady, sasa anachungulia kama guest humu
 
Last edited by a moderator:
Rest In Server sweetlady...ungenitafuta jana wala yasingekupata yaliyokupata.

In the serious note nimeshtushwa sana na taarifa hizi. You shall overcome. Ngoja niangalie kama naweza kuufungua huo mnyororo uliokufunga.
 
Last edited by a moderator:
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!


Acha wivu Mkuu! Kunisalimia kwa busu la kumbatio ndio umsababishie adhabu kubwa hivyo! lazima niandamane!
 
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!

Nimepata taarifa zako. Wewe ulitaka akeshe pale Lenana? Halafu chakula angeniandalia nan? Mimi ndo nilimwambia awahi kurudi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa
Mi nilimwambia aachane na JF na habari za jana apike tule akajifanya anakomaa na habari mpasuko lol sangapi nayeye wasimpige Bomu!
Hahahahaaa chezea vib......shia wewe!
Rest In Server my@sweetlady

Acha majungu. Tayari nimekamilisha mchakato. Ameachiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…