maskini OBAMA...hii kashfa inaweza mwangusha kabisaaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maskini OBAMA...hii kashfa inaweza mwangusha kabisaaaaaaaaa

Discussion in 'International Forum' started by sabasita, Oct 5, 2012.

 1. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  [h=2]President Barack Obama’s campaign raised more than $150 million in September, which was a record haul for the 2012 cycle, but the campaign may be actively trying to block a story in the works about a “blockbuster donor scandal” that could put its fundraising numbers under intense scrutiny.[/h] According to the Washington Examiner, “a taxpayer watchdog group conducted a nine-month investigation” and uncovered “thousands of cases of credit card solicitations and donations” to the Obama campaign. Many of those donations have allegedly come from overseas and may be in violation of federal election laws.
  National outlets are preparing stories on the matter, and the Obama campaign has been trying to block those stories from being published.
  The Wall Street Journal, citing “people familiar with the totals,” reported the Obama campaign’s September fundraising haul on Thursday, which shattered the campaign’s August record of $114 million for the most money raised in a month during the 2012 election cycle.
  The Obama campaign in August also broke the Romney campaign’s three-month streak in which it beat the Obama campaign in fundraising.
  And in August, the Obama campaign raised $25 million from people donating $200 or less. In addition, while the September figures are not yet known, “more than 2 million people” had donated $25 or less as of August to the Obama campaign.
  Under Federal Election Commission (FEC) regulations, campaigns have to make their “best efforts” to collect information about contributors who donate $50-$200, but those who donate less than $200 do not have to be publicly disclosed.
  Further, all donations less than $50 fall under the “Pass-the-Hat” rule, which means campaigns do not have to make their “best efforts” to collect identifying information on these donors and can actually report all such donations under a lump sum.
  The Obama campaign’s September fundraising numbers may give people a feeling of déjà vu.
  In September of 2008, the Obama campaign also raised $150 million, which was a record at that time, and added 632,000 new donors then.
  And as the Examiner noted, the Obama campaign in 2008 was hit with a similar scandal in which the campaign let donors use “largely untraceable prepaid credit cards that could potentially be used to evade limits on how much an individual is legally allowed to give or to mask a contributor's identity."
  David Plouffe, Obama’s campaign manager in 2008, wrote in his 2009 book, The Audacity to Win, about how even he was surprised by the amount of money the campaign was able to raise during the 2008 campaign.
  “Whenever I checked our fund-raising performance online, it was like watching a volcano erupt,” Plouffe wrote. “There were times when we were raising $250,000, $300,000, even $500,000 an hour. It was remarkable, and critical.”

  :shock:
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Haiwezi mwangushs kwanza hii kwa us sio kashfa ni mapenzi ya kweli kwa jaluo wacha udakuz
   
 3. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Hizi ni mbinu za wafahidhina za kujaribu kumchafulia OBAMA, uzuri wa Wamerikani wanjuwa sana kuchambanua baina ya pumba na mchele.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Huyu mjaluo hakamatiki kirahisi hivyo. Wapinzani wake watafute mambo ya maana ya kuongea lakini sio hizo siasa za maji taka. Uchumi bado sio mzuri lakini kwa jinsi mambo yalikuwa hovyo wakati anaingia white house sidhani kama kuna mtu alitegemea kila kitu kingekuwa sawa in 4 yrs! Romney kibarua bado anacho. Debate iliyopita kapata nafuu, sasa subiri foreign policy.
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Heshima yako mkuu, nakuhakikishia mdahalo kuhusu Foreign Policy Rommey atatolewa kamasi - si ajabu waki muhuliza Tanzania hiko wapi atesema hiko Afghanistan, kusema kweli watu wanao mlaumu OBAMA kuhusu uchumi wa nchi hiyo wanamuonea, mtu wa kulaumiwa katika hilo ni Bush Jr siyo Mjaluo na hilo wapinzani wake wanalijuwa sana, miaka minne ya administration ya mjaluo ni muda mdogo sana kurekibisha uchumi kikamilifu.

  Wamerikani walivyo, si ajabu wakaibua tena suala la kusema Obama hakuzaliwa Merikani, birth certificate zate ni fake watabuni chochote kile katika azma yao ya kutaka atolewe mkuku Ikulu! Uzuri ni kwamba mjaluo atashinda tena katika term yake ya pili.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Leo kuna opinion poll inapigwa (Kila ijumaa) so, naisubiri niicheki hasa baada ya debate ya juzi. Haya mengine ni mbwembwe tu!!!!
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wapambe wa obama utawajua2!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Romney inabidi apige darasa la nguvu maana ni mweupe kwenye foreign policy. Nahisi (Romney) atajaribu kuongelea malumbano ya nuclear mashariki ya kati kwa kujidai yeye atafanya maamuzi magumu maana upande wa Romney ni walamba miguu ya wayahudi.
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  These are just wishes. If wishes were wings------ Romney would win. Again who bothers? They can tell it the birds.
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Spot on mkuu, yaani Rommey na Netanyahu wamesubiri kwa hamu mada kuhusu IRAN na mashariki ya kati - mbuni zao ni kutaka kuonyesha kwamba OBAMA yuko wobbly sana inapokuja suala la IRAN, kwa hiyo hafahi kuwa kiongozi wa taifa kubwa - si ajabu Rommey akaongezea kwamba kuna habari za kuaminika za kitelijisia kwamba Wairan wamebakiza miezi miwili kulipua bomb la Nuclear.

  Wanaweza kuongezea chumvi kwamba IRAN ina mpago wa kuwapa Hezibolla na Al-Qeidafissile material specifically H.E.U watengeze a crude nuclear bomb ya kuweka kwenye briefcase na kuzisafirisha kwenda Israel na Merikani , wakisha tamka hilo kesho yake media za huko ambazo wamiliki wake ni Wayahudi wata-splash kwenye magazeti ya broadsheet na luninga at a prime TIME kuwatishia Wamerikani kuhusu uwezo hatari wa IRAN. Hata hivyo sidhani kama mbinu hizo zitafanikiwa kubadili mawazo ya Wamerikani walio wengi kuhusu Mjaluo, atachaguliwa tu for a second TERM.
   
 11. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,733
  Trophy Points: 280
  Netanyahu hawezi kuthubutu kusema hayo tena, Ehud Barack atamuumbua kwani naona sasa hivi hawa watu hawaivi kabisa.
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Nukuhunga mkono, Ehud Barack ni binadamu anaye tafakali mambo kwa kina na hana papala, ni mtu tofauti kabisa kihuluka ukilinganisha na Bibi (Netanyahu nickname), kama Ehud hasingekuwa kwenya cabinet ya Netanyahu nafikili vinu vya nuclear reactors vya IRAN vingekuwa vimekwisha shambuliwa na ndege za kivita za Israel bila ya kujali athali za kitendo hicho hatari.

  Nafikili Rommey anaweza kuwa tempted kutoa matamshi hayo ya kutisha Wamerikani wenzake kuhusu IRAN , kutokana na shinikizo la Netanyahu - nisikia Rommey yuko karibu sana na Bibi, Waziri mkuu huyo wa Israel anapenda Chama cha Rommey ndo kishinde katika uchaguzi.
   
 13. g

  geophysics JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hayo majungu tu yatapita na jamaa atapeta.
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  watu kwa kupenda jitafutia sababu za kutokubali ukweli.Obama alichemsha live ingawa kila mtu alimpa kura kuwa naweza ibuka kidedea.Obama alichemsha kwa kila kitu, hakufany amazoezi vya kutosha akidhani kuwa kumshida mcain kulikuwa ni ushindi wa kweli.Alimshinda MC kwa vile mc alijikita katk hoja dhaifu na kuamini kuw akushikwa kwake mateka kungempatia huruma ya nchi, na kelele za weusi na wengine zilimfanya watu wampe kura za umaarufu.

  Obama kafundishwa na mwalimu aliyepigwa chini na Bush, hakujiandaa vya kutosha, ni mwoga wa number etc.Alitia aibu kw aujumla kuna kipindi nilion akama vile sasa mwenzie ndie anayemuuliza maswali au kumchezea kama mtoto.Kuna wengine wanasema Obama anamtegea sijui round ya pili ndio ammalize ila sioni hilo.
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,405
  Likes Received: 81,432
  Trophy Points: 280
  BO' pamoja na kuteleza katika debate ya juzi bado yuko katika nafasi nzuri ya kubaki WH. Kama ataweza kufanya vizuri katika debate mbili zilizobaki na employment numbers zitakazotangazwa November 2, 2012 kuwa bomba basi Romney ARIE TU! labda asubiri 2016 kujaribu bahati yake kwa mara nyingine tena ya kuingia WH.

   
 16. U

  Uswe JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tarahe 1 October, kabla hata ya mdahalo, niliandika, kama kawaida kuna watu kama sabasita wakanishukia, tena bila kuwa na hoja

   
 17. U

  Uswe JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  BAK una mapenzi sana na BO, maana hata kule kwenye thread yangu niliposema BO atapoteza uchaguzi, ulikuja fasta kujenga hoja za kwa nini BO hatoki WH.

  Kumbuka BO hajasema categorical kwamba lini Iran inatakiwa isitishe mpango wake wa nuclear pamoja na Israel kumtaka BO aseme, Israel imekua ikipush for CLEAR RED LINES lakini BO amekua akikwepakwepa, hii itamgharimu!
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizi kelele zitaisha tarehe 06/11/2012 :biggrin:
   
 19. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  BO pamoja na ma-adviser wake ni watu makini sana, hawawezi kuendeshwa PUTA na ajenda za siri za Israel. Kitu kinacho nishagaza mimi ni Israel kujifanya ni 51 State ya Merikani - wana mamlaka gani ya kuipa Merikani timeline ya ku-deal na IRAN.

  Jeuri za an emotional Netanyahu ndio zifanye DUNIA ianze kupigana a proxy WAR on their behalf?? Wenyewe wana haki gani ya kuwa na silaha za Nuclear Mashariki ya kati lakini wanaona Wairan na Waarabu hawana haki, ni lini vinu vya Nuclear vya Israel viliwahi kukaguliwa na International Community?

  Watu wanacho sahau ni kwamba mama yake BO ana asili ya Kiyahudi lakini hilo ilimfanyi BO kutaka kupigana vita na IRAN ili awalidhishe wajomba ZAKE.
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,405
  Likes Received: 81,432
  Trophy Points: 280
  BO' pamoja na kutopata support yoyote ile toka Republicans kajitahidi sana katika kuiongoza Marekani kuepuka hatari kubwa ya kuanguka kiuchumi. Sina maana kwamba sasa hivi hali ya kiuchumi ni shwari, lakini kuna ahueni kubwa sana ukilinganisha na wakati anaangia madarakani.

  Yule Netanyahu alitaka kumtikisa BO' kwa kupita kwa Cameron kuomba support, Cameron hakumuonea uvivu akamtolea nje. Akaona akiingia US na kutumia media mbali mbali kuonyesha kwamba Iran inakaribia sana kupata kitu cha moto basi BO' angetishika kwa uwezekano wa kukosa kura za wayahudi na hivyo kuondolewa madarakani, lakini akamkuta mutoto wa mujini hababaiki na kelele za Netanyahu hivyo kama alivyofanya Cameron naye akamtolea nje na hata hakutaka kukutana naye uso kwa uso.[

  BO' anaijua athari kubwa ya kiuchumi si mwa US pekee bali dunia nzima kama kutakuwepo vita nyingine. Uvamizi wa Iraq ildaiwa kwamba ni vita ambayo ingechukua mwezi tu maana jamaa wangekuwa wanacheza kwa angani tu na gharama za vita ile ilidaiwa ingekuwa ni $30 million. Leo hii ni miaka tisa baadaye, vita ile bado haijaisha rasmi na gharama zimeshafikia $1 Trillioni.

  Gharama za vita ile zilikuwa ni moja ya sababu za kutishia kwa kiasi kikubwa kuanguka kwa uchumi wa Marekani, ndiyo maana BO' kwa sasa anaona ni bora kutumia vikwazo vya kiuchumi kuliko kuliingiza Taifa katika vita nyingine ambayo haijulikani itachukua muda gani, gharama zake zitakuwa ni kiasi gani na athari za vita nyingine kiuchumi hasa ukitilia maanani kwamba uchumi wa US ndio unaanza kuonyesha dalili ya kupata ahueni bada ya kusambaratishwa na Kichaka.


   
Loading...