Maskini moyo wangu

Nnavyojua kujishut up, moyo haunisumbui kabosaaa. Yaani naweza kujiachia nikaslide kiduchu, ukizingua kidogo tu naanza kusukuma damu kama kichaa. I go into euphoria state afu unaisoma namba ya kiatu.
Naomba kujua wewe hicho kiherehere hakijawah kukutokea?? Si kwa ubaya King'asti ni ka swali ka uzushi tu..
 
Last edited by a moderator:
Nnavyojua kujishut up, moyo haunisumbui kabosaaa. Yaani naweza kujiachia nikaslide kiduchu, ukizingua kidogo tu naanza kusukuma damu kama kichaa. I go into euphoria state afu unaisoma namba ya kiatu.

Uko vizuri,, hiyo tabia waweza wafundisha wengine maana ni sheedaaahh karibia kila asubuhi mijitu inakuja kulia na moyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…