Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,343
- 111,596
Tukio hili limetokea jana wakati wa mechi ya ligi kuu ya Tanzania baina ya Yanga(Kuala Lumpar Malaysia) na Prison(Wajelajela).
Hebu angalie namna Askari wa Jeshi la Tanzania wanavyomnyanyasa Mlemavu huyu kwa kosa dogo tu la kutaka kuingia uwanjani.
Hivi ndivyo tukio lilivyoanza....
Na kuendelea hivi....
Hebu angalie namna Askari wa Jeshi la Tanzania wanavyomnyanyasa Mlemavu huyu kwa kosa dogo tu la kutaka kuingia uwanjani.
Hivi ndivyo tukio lilivyoanza....
Na kuendelea hivi....