Nikweli Mkuu yatupasa kishukuru lakini mazingira ninayo Fanyia kazi ni magumu sana hata kile kidogo ambacho ni hakiyangu kunamtu hataki kutimiza wajibu wake anazidi kuonea wanyongeUsilalamike. Nakushauri umia tu kimoyomoyo. Wapo wengi wanataka nafasi hata yakufanya kazi bila malipo. Wewe fanya tuu. Jipange. Fanya kama vile umehonga au umetoa sadaka.
Kiongozi yupo afisa utumishi alinidokeza madeni haya yalikuwa yanaoneka huko kwenye computer cha kushangaza sasa hivi hayaoneka na walipo Fanya mawasiliano na hazina wanapewa majibu ya kukatisha tamaaaSio ww tu ni wengi sn wanaodai mishahara na wameandikia barua na madai yao yamehakikiwa zaidi ya mara 1lakini kimya. Ni dhuluma tu na ni dhambi pia.
Kwanini wasilipe?
2020 inakuja,pandikiza kitu kwa Ndugu na jamaa kuikataa ccm.
Dai tume huru ya uchaguzi ewe mtanzania.
Mkuu uhamisho sikuomba walinihamisha wenyewe na haukuwa nje ya wilayausilalamike ulijichanganya hapo kwenye uhamisho ....ni makosa yako mwenyewe .wengi sana huumia nimekutana nao ....mshahara ukichelewa usiombe uhamisho ndo utakosa kabisa
Hahahahasaa?,ushauri feki unataka ufanye kazi ya ualimu kwa kujitolea,kwani toka lini walimu nao wakalipwa mshahara,hahahaha huwa wanajitoleaUsilalamike. Nakushauri umia tu kimoyomoyo. Wapo wengi wanataka nafasi hata yakufanya kazi bila malipo. Wewe fanya tuu. Jipange. Fanya kama vile umehonga au umetoa sadaka.
ungekataa kuhama ...huo ulikuwa mtego ili pesa zako zipigwe fresh na wajanja wa halmashauriMkuu uhamisho sikuomba walinihamisha wenyewe na haukuwa nje ya wilaya