Maskini mabinti zetu

Maskini mabinti zetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1419872898253.jpg
 
watakuwa wameshushwa kwenye daladala kwa kukosa nauli au...
 
Hawa walikua wanafunzi wa UDSM walikua kwenye mgomo wakavamiwa na polisi na kupigwa mabomu.... Hapo ilikua maeneo ya geti maji mwaka 2011.
 
Wamejificha ?.

Hawana tofauti na mbuni afichaye kichwa tu.

Imekuwaje juu Yao???

Ni mgomo wa Udsm na hapa hawa FFU njaa walikuwa wanawafukuza. Hapo ni jirani na nyumba ya VC ukitokea Geti Maji, waliwadhalilisha sana hawa mabinti, zilikuepo picha nyingine zilizoonyesha walivyodhalilishwa na hawa askari ambao wengi wao ni failures kimasomo na kimaisha na kiakili
 
Siku hizi Bongo madanguro kila sehemu. Mi sishangai lakini kwani watu wanafanya ngono hata juu ya makaburi sembuse hawa mabinti wa kigogo kufanya ngono kwenye mifereji ya maji machafu? Hiki ni cha mtoto tu.
 
Back
Top Bottom